
Kuwajali Wanao Watunza by Roy W Harris
Ambayo mkee wake ameyapitia. Nikawaza, kuna wengine wengi wanao jail ambao wanaitaji kusikia habari hii. Niluifurahia sana nilipo pata habari na pia kitabu ca kwanza cha kujali wanao kutunza. Lilipo ansa tu kukisoma kitabu hicho, nisingeliweza kukiweka chini kitabu hici ni lazima kwa kila anaye watunza wengine, mchungaji, mwenyekiti, mhelekezi, mhudumu wqa Afya, na yeyote Yule anaye hitaji ufahamu zaidi kuhusu jinsi ya kusaidia na kuwatia moyo wanaowatunza. Asande sana ROY Watu wengi watasaidika na kutiwa moyo nna kitabu hichi. - Dr. Stan Toler alitumika kama muhudumu wa jumla kama suparitendant kanisa la NAZAREENI NA KAMA MCUNGAJI WA KULE Ohio, Florida, Tennessee, na pia oklaoma. Dr Tolaer ameviandika vitabu zaidi ya miamoja vikiuzwa zaidi ya miolioni 3 Ulimwenguni.| SKU | Unavailable |
| ISBN 13 | 9781947759053 |
| ISBN 10 | 1947759051 |
| Title | Kuwajali Wanao Watunza |
| Author | Roy W Harris |
| Condition | Unavailable |
| Binding Type | Paperback |
| Publisher | Rhmpublications |
| Year published | 2018-09-14 |
| Number of pages | 124 |
| Cover note | Book picture is for illustrative purposes only, actual binding, cover or edition may vary. |
| Note | Unavailable |